AppBrain Best Android Apps
AppBrain
Dashboard Statistics Stats Documentation Docs
Sign up
Log in
Android Apps > Educational > Herufi na Akili – Akili and Me
Herufi na Akili – Akili and Me icon

Herufi na Akili – Akili and Me

Rudi shule na Akili! Tumia app yake BURE kujifunza HERUFI kwa Kiswahili fasaha!

by Ubongo
Download Herufi na Akili – Akili and Me APK from Google Play
Download Herufi na Akili – Akili and Me APK from Google Play
Herufi na Akili – Akili and Me Screenshot
Herufi na Akili – Akili and Me Screenshot
Herufi na Akili – Akili and Me Screenshot
Herufi na Akili – Akili and Me Screenshot
Herufi na Akili – Akili and Me Screenshot
Herufi na Akili – Akili and Me Screenshot

About Herufi na Akili – Akili and Me

Sasa shule zimeanza rasmi. Je, wayajua maendeleo ya mwanao? Umemwandaa kufanya vizuri mwaka huu? App yetu ya “Herufi na Akili” itampatia mwanao msingi imara wa Elimu! App hii ni tafsiri ya Kiswahili ya #Akili's Alphabet: Game #1 ya Elimu Tanzania yenye mashabiki wengi, liyopakuliwa zaidi ya mara 10,000 kwenye Play Store! “Herufi na Akili” inamwandaa mtoto wako kwa ajili ya kwenda SHULE. App hii hutumia michezo na nyimbo kufundisha mwanao jinsi ya kutamka herufi na kumfunza maneno mapya! Mtoto wako atafurahia ELIMU na app hii ya BURE inayoletwa kwako na waandaaji wa katuni murua ya elimu-burudani ya “Akili and Me.”! Mwanao atajifunza na Happy Hippo, Bush Baby na Little Lion, akiimba na kusikiliza nyimbo za herufi azipendazo kutoka kwenye kipindi cha "Akili and Me." Hebu mwone anavyocheza kwa raha, akifurahi na marafiki huku akisikiliza HERUFI zinavyotamkwa na kuzifananisha kwenye simu! Ubongo, ambao pia ni waandaaji wa katuni nyingine maarufu ya “Ubongo Kids”, wameitengeneza app hii kwa lengo hasa la kumwezesha mtoto wako: FAIDA - Atambue sauti za herufi. - Afananishe herufi. - Ajifunze kwa uwezo na kasi yake mwenyewe. - Acheze kwa uhuru. - Apende kujifunza. VILIVYOMO - Jifunze zaidi ya maneno 80 mapya. - Cheza kwenye mazingira salama kwa ajili ya mtoto. - Imebuniwa kwa ajili ya watoto wa miaka 3, 4, 5 na 6. - Haina maksi wala daraja, hivyo mtoto atajifunza bila hofu. - Ni BURE kabisa. Hakuna gharama zozote. - Inafanya kazi BILA MTANDAO. Ubunifu wa “Herufi na Akili” ni kwa ajili hasa ya watoto, hivyo mwanao ataielewa app hii bila shida na kuanza kuitumia mara moja. Mwonyeshe jinsi ya kupanga na kuoanisha herufi mara moja au mbili tu, kisha tazama jinsi anavyocheza mwenyewe kwa uhuru kabisa na kwa raha zake! Wangoja nini? Ipakue sasa BURE! KIINGEREZA - AKILI'S ALPHABET Ahsante kwa kupakua Herufi na Akili. Tumekuandalia pia tafsiri ya app hii inayoitwa "Akili's Alphabet" inayomfundisha mwanao sauti za herufi na maneno mapya kwa lugha ya Kiingereza. "Akili's Alphabet" itamwezesha mtoto wako ajifunze lugha ya pili, huku akicheza na kusikiliza nyimbo alizozizoea kutoka kwenye kipindi cha "Akili and Me." Tafuta tu "Akili's Alphabet" hapa Google Play, na utaipata mara moja. KUHUSU “AKILI AND ME” “Akili and Me” ni katuni murua ya elimu na burudani inayoandaliwa na Ubongo, watengenezaji wa “Ubongo Kids” na programu nyingine nyingi za kujifunza zilizoundwa mahususi kwa ajili ya watoto wa Afrika. Karibu Lala Land, ulimwengu wa maajabu, ambapo utajifunza na kucheza na Akili! Imba namba! Cheza herufi! Cheka, chora, na jifunze Kiingereza na Kiswahili na Akili. Njoo ufurahi na Little Lion, Happy Hippo na Bush Baby kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1 (Tanzania), na Jumamosi pekee saa 3 asubuhi kupitia Citizen TV (Kenya). KUHUSU UBONGO Ubongo ni kampuni ya kijamii ya Tanzania inayoandaa vipindi na katuni mahususi za elimu na burudani kwa ajili ya watoto wa Afrika, ikitumia teknolojia za kidijitali kama redio, simu, televisheni na vitabu vya mtandaoni kuwafikia popote pale walipo. Mkakati wetu ni kuwafurahisha wana wa Afrika, tukiwafunza ili wapende kujifunza zaidi kwa uwezo na nafasi yao, wakitumia teknolojia walizo nazo. Njoo utazame vipindi maarufu vya “Ubongo Kids” na “Akili and Me” vinavyofikia zaidi ya nyumba milioni 5.1 barani Afrika. ONGEA NASI Kama una maswali, maoni, ushauri ama unahitaji msaada wowote, tafadhali zungumza nasi kupitia info@ubongo.co.tz. Twafurahi sana unapotupa maoni yako.
Sasa shule zimeanza rasmi. Je, wayajua maendeleo ya mwanao? Umemwandaa kufanya vizuri mwaka huu?

App yetu ya “Herufi na Akili” itampatia mwanao msingi imara wa Elimu!

App hii ni tafsiri ya Kiswahili ya #Akili's Alphabet: Game #1 ya Elimu Tanzania yenye mashabiki wengi, liyopakuliwa zaidi ya mara 10,000 kwenye Play Store!

“Herufi na Akili” inamwandaa mtoto wako kwa ajili ya kwenda SHULE. App hii hutumia michezo na nyimbo kufundisha mwanao jinsi ya kutamka herufi na kumfunza maneno mapya!

Mtoto wako atafurahia ELIMU na app hii ya BURE inayoletwa kwako na waandaaji wa katuni murua ya elimu-burudani ya “Akili and Me.”!

Mwanao atajifunza na Happy Hippo, Bush Baby na Little Lion, akiimba na kusikiliza nyimbo za herufi azipendazo kutoka kwenye kipindi cha "Akili and Me."

Hebu mwone anavyocheza kwa raha, akifurahi na marafiki huku akisikiliza HERUFI zinavyotamkwa na kuzifananisha kwenye simu!

Ubongo, ambao pia ni waandaaji wa katuni nyingine maarufu ya “Ubongo Kids”, wameitengeneza app hii kwa lengo hasa la kumwezesha mtoto wako:

FAIDA
- Atambue sauti za herufi.
- Afananishe herufi.
- Ajifunze kwa uwezo na kasi yake mwenyewe.
- Acheze kwa uhuru.
- Apende kujifunza.

VILIVYOMO
- Jifunze zaidi ya maneno 80 mapya.
- Cheza kwenye mazingira salama kwa ajili ya mtoto.
- Imebuniwa kwa ajili ya watoto wa miaka 3, 4, 5 na 6.
- Haina maksi wala daraja, hivyo mtoto atajifunza bila hofu.
- Ni BURE kabisa. Hakuna gharama zozote.
- Inafanya kazi BILA MTANDAO.

Ubunifu wa “Herufi na Akili” ni kwa ajili hasa ya watoto, hivyo mwanao ataielewa app hii bila shida na kuanza kuitumia mara moja.

Mwonyeshe jinsi ya kupanga na kuoanisha herufi mara moja au mbili tu, kisha tazama jinsi anavyocheza mwenyewe kwa uhuru kabisa na kwa raha zake!

Wangoja nini? Ipakue sasa BURE!

KIINGEREZA - AKILI'S ALPHABET
Ahsante kwa kupakua Herufi na Akili. Tumekuandalia pia tafsiri ya app hii inayoitwa "Akili's Alphabet" inayomfundisha mwanao sauti za herufi na maneno mapya kwa lugha ya Kiingereza.

"Akili's Alphabet" itamwezesha mtoto wako ajifunze lugha ya pili, huku akicheza na kusikiliza nyimbo alizozizoea kutoka kwenye kipindi cha "Akili and Me." Tafuta tu "Akili's Alphabet" hapa Google Play, na utaipata mara moja.

KUHUSU “AKILI AND ME”
“Akili and Me” ni katuni murua ya elimu na burudani inayoandaliwa na Ubongo, watengenezaji wa “Ubongo Kids” na programu nyingine nyingi za kujifunza zilizoundwa mahususi kwa ajili ya watoto wa Afrika.

Karibu Lala Land, ulimwengu wa maajabu, ambapo utajifunza na kucheza na Akili! Imba namba! Cheza herufi! Cheka, chora, na jifunze Kiingereza na Kiswahili na Akili.

Njoo ufurahi na Little Lion, Happy Hippo na Bush Baby kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1 (Tanzania), na Jumamosi pekee saa 3 asubuhi kupitia Citizen TV (Kenya).

KUHUSU UBONGO
Ubongo ni kampuni ya kijamii ya Tanzania inayoandaa vipindi na katuni mahususi za elimu na burudani kwa ajili ya watoto wa Afrika, ikitumia teknolojia za kidijitali kama redio, simu, televisheni na vitabu vya mtandaoni kuwafikia popote pale walipo.

Mkakati wetu ni kuwafurahisha wana wa Afrika, tukiwafunza ili wapende kujifunza zaidi kwa uwezo na nafasi yao, wakitumia teknolojia walizo nazo. Njoo utazame vipindi maarufu vya “Ubongo Kids” na “Akili and Me” vinavyofikia zaidi ya nyumba milioni 5.1 barani Afrika.

ONGEA NASI
Kama una maswali, maoni, ushauri ama unahitaji msaada wowote, tafadhali zungumza nasi kupitia info@ubongo.co.tz. Twafurahi sana unapotupa maoni yako.
Show full description Hide full description
afrika ajili akili bure burudani elimu herufi hii jinsi katuni kiingereza kujifunza kupitia kwa kwenye maneno mapya mara mtoto mwanao nyimbo ubongo wako watoto zaidi

Download related apps

Tenzi Za Rohoni
Awesomecode Tanzania
100
Free
100,000+
BongoSwaggz - Habari na Buruda
NAG Digital Solutions
100
Free
100,000+
Qurani (Quran Tukufu) in Swahi
Appz Ninja
93
Free
100,000+
Kua Kiroho SDA — Lesoni 2023
Joseph Mazala
100
Free
50,000+
Simulizi Tamu za Mapenzi - na
Tee Media
91
Free
50,000+
Mapishi
Alhidaaya.com
83
Free
100,000+
Sanya Boy App
Social Inc Developers
87
Free
100,000+
Udaku Daily Tanzania
FunHub Apps
89
Free
100,000+

More from Ubongo

Akili's Alphabet —Akili and Me
Ubongo
89
Free
500,000+
Read With Akili - What Do You
Ubongo
90
Free
100,000+
Kibena and the Math Rats
Ubongo
79
Free
100,000+
Read With Akili - So Many Diff
Ubongo
98
Free
100,000+
Ubongo PlayRoom
Ubongo
0
Free
100,000+
Find the Pair with Akili
Ubongo
94
Free
10,000+
Read with Akili - Akili and th
Ubongo
0
Free
10,000+
Read With Akili - My Marvelous
Ubongo
0
Free
10,000+
100+
Thousand
Downloads
PREMIUM
Est. downloads
PREMIUM
Recent d/loads
4.33
319
Rating
Unranked
Ranking
5
Libraries
4.4+
Android version
10/11/21
Last updated
2021
October
App age
26.6 MB
APK size
Everyone
Content rating
FREE
Price

Google Play Rating history and histogram

265
0
0
0
53

Changelog

Show changelog

Developer information for Ubongo

Ubongo

digital@ubongo.org

Website

Ubongo Kids
2nd Floor, Plot No. 8 & 10,
Off Haile Selassie Road,
Kinondoni District,
Dar es Salaam,
Tanzania.

Are you the developer of this app? Join us for free to see more information about your app and learn how we can help you promote and earn money with your app.
I'm the developer of this app

Comments on Herufi na Akili – Akili and Me for Android

Tag cloud

akili app good kids learn like nice thanks very zuri

Positive comment tag cloud

akili app athumani good kids learn like nice very zuri

Negative comment tag cloud

akili augustine kiswahili learn lvah maina may people revieuakili true

Google Play Rankings

This app is not ranked

Permissions

Network communication
view network connections, full network access
System tools
prevent phone from sleeping

Technologies used by Herufi na Akili – Akili and Me

Ad network libraries

None found

Social libraries

None found

Development tools

Android Jetpack core Android Library IconAndroid Jetpack core Firebase Android Library IconFirebase Google Analytics Android Library IconGoogle Analytics Unity 3D Android Library IconUnity 3D FMOD Ex Programmers API Android Library IconFMOD Ex Programmers API
AppBrain Intelligence premium content

Subscribe now to get full and unlimited access to AppBrain Intelligence. You'll have access to:

  • Unlimited pageviews (both app and developer details)
  • Recent install count per app (last 30 days)
  • Detailed ranking data per app
  • Recent install count per developer (last 30 days)
  • Full timeline per developer
  • Device market shares data per country
1 Month

$75/mo
(billed every month)

SAVE 0%
Subscribe
3 Months

$65/mo
($195 billed every 3 months)

SAVE 13%
Subscribe
1 Year

$57.50/mo
($690 billed every year)

SAVE 23%
Subscribe
Each subscription will automatically renew 3 days before the expiration date for the same time period. Subscriptions can be cancelled at any time before the renewal.

More apps

  • Top Android apps being viewed
  • Np
  • GameFly
  • Avatar World: City Life

Android Statistics

  • Android statistics
  • Google Play Developer stats
  • Trending Android Apps
  • All-time Popular Apps

About AppBrain

  • Contact
  • Blog
  • Privacy
  • Documentation
  • The Android App Market: Size - Trends and Opportunities
© 2010-2023 - AppBrain