Houses to plan and buy, Plots, House maps, Construction and Education
About OnTheList Tanzania
OnTheList Tanzania is a house & home app developed by SIALINE TECH LTD.
Download Statistics
OnTheList Tanzania has been downloaded 49 times. In the last 30 days, the app was downloaded 0 times.
User Ratings
The app has no ratings yet.
App Information
OnTheList Tanzania is FREE to download. The APK download size is 22.04 MB. The latest version available is 1.0.3. The last update was on August 23, 2022.
Technical Requirements
The app has a content rating of Everyone. The app has been available on Google Play August 2022.
Description
ONTHELIST TANZANIA
OnTheList ni applikesheni ambayo inasaidia upatikanaji wa nyumba za kupanga na kuuza, Viwanja, ramani za nyumba. Pamoja na mikopo ya nyumba. Pia Ndani ya OnTheList kuna wataalamu wa makazi, ujenzi, uchoraji wa ramani za nyumba na mafundi ili kutoa ufafanuzi, kujibu maswali Pamoja na kutoa elimu.
MATATIZO TUNAYOYATATUA Upatikanaji wa nyumba za kupanga haijawahi kuwa rahisi, fikiria wewe ni mgeni umekuja dar kwa mara ya kwanza na unataka nyumba ya kupanga. Kitu cha kwanza lazima utamtafuta ndugu au Rafiki akuunganishe na dalali. Baada ya kumapata dalali zoezi linaanza kuangalia nyumba ambazo anakuonyesha dalali . unaweza kuchukua nyumba yeyote yenye uafathari kikubwa uepuke huu usumbufu. Mfumo huu pia unatumika kwenye kupata nyumba za kununua na viwanja.
Ni mara ngapi unanunu ramani ya nyumba na kukosa msaada wakati wa ujenzi wa hiyo nyumba yako. Ni vigumu sana kumpata mtaalamu wa aridhi, makazi, viwanja nk akakusaidia kujibu yale maswali usiyoyajua au kukupa elimu jinsi ya kufanya nyumba au ujenzi wako uwe bora Zaidi na kwa gharama ndogo.
KWANINI UTUMIE ONTHELIST
UTAPATA NYUMBA YA KUPANGA AU KUNUNUA KWA UHARAKA. Epuka kuzunguka siku nzima kwa kutafuta nyumba ya kuishi, kwa kutumia app yetu unaweza kutumia dakika 5 tu kupata nyumba yako bila kutozwa pesa ya udalali. Kama hujapata nyumba katika zile zilizoorodheshwa basi weka tangazo lako kuwa unatafuta nyumba na madalali au wamiliki wa nyumba watakujibu.
UPATIKANAJI WA VWANJA NA MIRADI YA ARIDHI Kabla hujaenda kuona kiwanja OnTheList inakusaidia kujua eneo kiwanja kilipo kwa kuona kwenye ramani, kujua mazingira yalivokaa kupitia ramani pia kujua umbali na njia katika upatikanaji wa huduma za kijamii kama vile Barabara, maji, Soko, Shule nk. Lengo ni kukufanya uone mazingira kabla hata hujafika site.
UPATIKANAJI WA RAMANI ZA NYUMBA NA MAFUNDI Unaweza kuchagua ramani ya nyumba unayoipenda au kuomba ramani yako itengenezwe kama upendavyo.watu wengine wanaweza kuto ushauri na maoni kuhusu ramani husika. Pia kwa kuwasiliana nasi unaweza kupata mafundi ili wakusaidie katika ujenzi wa hiyo ramani yako.
UTAJIFUNZA NA KUULIZA CHOCHOTE Ndani ya OnTheList kuna wataalamu wa makazi, ujenzi, uchoraji ramani za nyumba na uwekezaji wa majengo na aridhi. Mtu yeyote anaweza kuuliza swali na kujibiwa na watu mbalimbali. Kila mtu anaweza kutoa mawazo yake kwa uhuru. Lengo ni kujifunza na kuongeza uelewa.
Ili kuhakikisha hayo yote yanafanyika Timu ya OnThelist Imetengeneza applikesheni rahisi kutumia ikiwa na vitu kama ramani ambapo mtumiaji anaweza kuchagua nyumba kwa kuona kwenye ramani. Pia mtumiaji anaweza kuchuja nyumba kwa kuchora eneo ambalo anataka nyumba za hilo eneo tu. Kama unaushauri, au swali usisite kututafuta kupitia email yetu onthelisttz@gmail.com
Get a detailed PDF report for OnTheList Tanzania with download trends, rating history,
and key performance statistics — useful for competitive research or tracking your own app.
Learn more
Are you the developer of this app? Join us for free to see more information about your app and learn how we can help you promote and earn money with your app.
Each subscription will automatically renew 3 days before the expiration date for
the same time period. Subscriptions can be cancelled at any time before the renewal.