Twenzao is made and published by
Amos Mushumbusi.
AppBrain is an independent app data site and isn't affiliated with Amos Mushumbusi.
The app name, icon, screenshots and description belong to Amos Mushumbusi and are shown as
published on the App Store.
About Twenzao
Twenzao was a travel app developed by Amos Mushumbusi. It was removed from the App Store Dec 25, 2024.
User Ratings
The app had no ratings.
App Information
Twenzao was free. The app size was 43.10 MB. The last available version was 23.0. The last update was on August 28, 2023.
Technical Requirements
The app had a content rating of Everyone. The app had been available on the App Store since December 2020.
Description by Amos Mushumbusi(from the App Store)
Umewahi kuwa unaendesha gari binafsi ukiwa na siti tupu ukatamani ungepata abiria wa kukuchangia gharama za mafuta? Umewahi kuachwa na basi ukatamani ungeweza kupata usafiri wa gari binafsi kwa namna rahisi na kwa bei isiyozidi ya basi?
Jibu lako ni "Twenzao", app inayokuunganisha dereva wa gari binafsi na abiria wanaoenda mwelekeo wako. Hakuna makato yoyote kutumia app ya Twenzao, anacholipa abiria ndicho anachopata dereva.
Twenzao inakuhakikishia usalama wako, taarifa za wasafiri wote tunazo, wawe ni madereva au abiria, na pia app ya Twenzao inakusanya taarifa kuhusu safari yenu, kwa mfano mahali mlipo.
Faida za Twenzao kwa ufupi: - Starehe ya gari binafsi kwa bei nafuu isiyozidi ya basi. - Safiri salama na watu ambao taarifa zao zimehakikiwa na safari yenu inatambulika. - Kwepa usumbufu wa madalali. - Anza safari muda wowote, sio lazima alfajiri kama ilivyozoeleka. - Pata safari hata kwenda kwenye vijiji ambapo mabasi hayasimami. - Kuwa huru kusimama au kutosimama safarini kuendana na makubaliano yenu mnaosafiri.
Each subscription will automatically renew 3 days before the expiration date for
the same time period. Subscriptions can be cancelled at any time before the renewal.