Bajeti Yangu App is a finance app developed by Swahili ICT.
How many times has Bajeti Yangu App been downloaded?
Bajeti Yangu App has been downloaded 500 times. In the last 30 days, the app was downloaded 25 times.
What is the rating of Bajeti Yangu App?
Bajeti Yangu App has no ratings yet.
Is Bajeti Yangu App free?
Bajeti Yangu App is free to download. The APK download size is 19.06 MB. The latest version available is 1.0. The last update was on December 7, 2025.
What are the requirements for Bajeti Yangu App?
The app has a content rating of Everyone. The app has been available on Google Play December 2025.
Description
VIPENGELE MUHIMU
1. Usimamizi wa Bajeti ✅ Kutengeneza/Kuhariri/Kufuta Bajeti Unaweza kuunda bajeti mpya, kubadilisha bajeti iliyopo, au kuifuta kabisa. Kila bajeti inaweza kuhaririwa wakati wowote.
✅ Kuweka Jina la Bajeti (max maneno 50) Jina la bajeti linaweza kuwa na herufi 50. App inakuonyesha umebaki na herufi ngapi ukiandika (mfano: 25/50).
✅ Kuweka Kiasi cha Bajeti Weka jumla ya fedha unazotaka kutumia kwenye bajeti hiyo. Inawekwa kwa shilingi (TZS) na ina format nzuri automatic.
✅ Kuchagua Tarehe ya Kuanza Chagua siku bajeti yako itakapoanza. Calendar itakuonesha uchague tarehe rahisi.
✅ Kuongeza Matumizi Mengi Unaweza kuongeza matumizi mengi unavyotaka kwenye bajeti moja. Minimum ni matumizi 1, maximum hakuna.
✅ Kuweka Bajeti Imekamilika Ukimaliza kutumia bajeti, unaweza imweka "Imekamilika" na itaonekana na badge ya green.
2. Kufuatilia Matumizi ✅ Kuongeza/Kuondoa Matumizi Unaweza kuongeza matumizi mapya kwenye bajeti yoyote, au kufuta matumizi usiyoyahitaji. Kubadilisha pia kunawezekana.
✅ Majina ya Matumizi (max maneno 40) Kila matumizi ina jina lake, maximum herufi 40. Character counter inakuambia umebaki na ngapi.
✅ Kiasi cha Matumizi Weka kiasi cha kila matumizi. Ina format ya shilingi automatic na thousand separators (mfano: 50,000).
✅ Weka Matumizi Yote Completed Kuna option ya kuweka matumizi yote completed kwa click moja, badala ya kubonyeza moja moja.
✅ Hesabu za Automatic App inahesabu jumla ya matumizi, baki, na asilimia automatic. Huhitaji kukokotoa calculator!
3. Hali ya Bajeti ✅ Kufuatilia Kiasi Kilichobaki App inakuonyesha umebaki na kiasi gani cha bajeti yako. Calculation ni automatic (Bajeti - Matumizi = Baki).
✅ Kutambua Bajeti Zimezidi Kama umetumia zaidi ya bajeti, app inakuambia "Imezidi" na kuonyesha umezidi kiasi gani.
✅ Kuonyesha Asilimia ya Matumizi Progress bar na percentage inaonyesha umetumia asilimia ngapi ya bajeti (mfano: 75%). Visual na rahisi kuelewa.
✅ Alama ya Bajeti Zilizo Expire (orange) Bajeti ambazo tarehe ya kuanza imepita lakini bado hazijakamilika zinaonekana na badge ya orange "Imeisha Muda".
✅ Alama ya Bajeti Zilizokamilika (green) Bajeti ulizozimaliza zinaonekana na badge ya green "Imekamilika". Vizuri kuona progress!
✅ Alama ya Bajeti Zilizozidi (red) Bajeti ulizozitumia zaidi ya limit zinaonekana na badge ya red "Imezidi". Warning ya kuangalia fedha.
4. Takwimu na Ripoti ✅ Kuchuja kwa Hali Unaweza chuja bajeti kulingana na hali: Zote, Zimekamilika, Zinaendelea, Zimezidi, au Ndani ya Bajeti. Rahisi kupata unavyotaka.
✅ Kuchuja kwa Tarehe Chagua tarehe range: Leo, Wiki hii, Mwezi huu, au Custom range. Unaona bajeti za kipindi fulani tu.
✅ Statistics za Muhtasari Jedwali kubwa la statistics linaonyesha jumla ya bajeti, zipi zimekamilika, zipi zimezidi, na takwimu nyingine muhimu.
✅ Export kwenye PDF na MS WORD Toa ripoti kamili kwa format ya PDF. Inatengenezwa na sections 3: Muhtasari, Bajeti, na Matumizi. Professional na ready for printing.
✅ Export kwenye CSV/Excel (faili 3) Toa ripoti kwa format ya CSV (Excel). Faili 3 zitatengenezwa: Muhtasari, Bajeti Records, na Matumizi Records. Unaweza fungua kwenye Excel/Sheets.
✅ Hesabu Sahihi ya JUMLA JUMLA kwenye ripoti inaonyesha jumla ya bajeti tu, SI bajeti + matumizi. Hesabu sahihi kabisa!
5. Arifa (Notifications) ✅ Arifa ya Bajeti Zinazoanza Leo Kila siku app inacheki kama kuna bajeti zinazotarajiwa kuanza leo. Inapiga kengele na kukuambia zipo ngapi.
✅ Arifa ya Bajeti Zinazoanza Kesho App inakuarifu bajeti zinazotarajiwa kuanza kesho ili ujiandae. Message clear na count ya bajeti.
✅ Arifa Mara Moja kwa Siku Notifications zinapiga mara moja tu kwa siku. Hazitapiga tena baada ya kuona notification ya siku hiyo.
✅ Backup Database kwenye Faili Unaweza fanya backup ya database yako yote kwenye file ya .db. Hifadhi kwenye phone storage, Google Drive, au popote.
✅ Restore kutoka Backup Unaweza restore data yako kutoka backup file. Ikiwa umepoteza data au umebadilisha simu, restore na kila kitu kirudi!
Get a detailed PDF report for Bajeti Yangu App with download trends, rating history,
and key performance statistics — useful for competitive research or tracking your own app.
Learn more
Are you the developer of this app? Join us for free to see more information about your app and learn how we can help you promote and earn money with your app.
Each subscription will automatically renew 3 days before the expiration date for
the same time period. Subscriptions can be cancelled at any time before the renewal.